WASHINGTON BUREAU- MAKAMPUNI MAKUBWA YA TEKNOLOJIA YAWAFUKUZA KAZI MAELFU YA WAFANYAKAZI

  • | VOA Swahili
    339 views
    Wimbi la kupunguza wafanyakazi wa makampuni makubwa ya teknolojia kama vile Meta, Google, Amazon na mengineyo limeongezeka nchini Marekani, wachambuzi wakisema hatua hiyo inatokana na sababu mbalimbali lakini mdororo wa kiuchumi wa dunia ukielezwa kuwa mmoja wapo #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.