Washukiwa 95 kushtakiwa kwa mauaji ya Shakahola

  • | Citizen TV
    3,173 views

    Muhubiri tata Paul Mackenzie sasa anatarajiwa kukabiliwa na mashtaka ya mauaji ya zaidi ya watu mia nne siku ya alhamisi. Mackenzie anatarajiwa kushtakiwa pamoja na washukiwa wengine zaidi ya 90 wanaojumlisha wafanyikazi wake na viongozi wa kanisa hilo lililowashurutisha waumini kufunga hadi kufa miongoni mwa dhulma nyengine.