Washukiwa wanne wa mlipuko wa gesi huko Embakasi wako kizimbani

  • | Citizen TV
    566 views

    Washukiwa wanne wa mlipuko wa Kiwanda cha Gesi cha Embakasi, Derrick Kimathi, Joseph Makau, David Walunya Ongare na Marrian Mutete Kioko, wataendelea kuzuiliwa kwa siku 21 ili kuruhusu polisi kukamilisha uchunguzi.