- 3,773 viewsDuration: 3:08Maafisa wa upelelezi hapa Nairobi wamewakamata washukiwa wanne wa wizi wa mabavu na utekaji nyara ambao wamekuwa wakitafutwa kwa miezi mitatu. Maafisa wa kituo cha polisi cha Kilimani na Kasarani wakiwakamata washukiwa hawa wakijumuisha maafisa wa zamani wa polisi.