Washukiwa wanne wa wizi wa mananasi wauwawa

  • | Citizen TV
    13,374 views

    Familia nne kutoka kaunti ya Machakos zinadai haki baada ya miili ya jamaa zao kupatikana kutoka mto Thika ikiwa na alama za majeraha. Kulingana na familia hizo jamaa zao walipigwa na walinzi wa kampuni ya sharubati ya Delmonte baada ya kupatikana wakiiba mananasi kutoka shamba la kampuni hiyo.