- 2,169 viewsDuration: 2:41Tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi imetwaa shilingi milioni 3.58 zinazokisiwa kuwa mali ya ufisadi kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya Turkenya Tours & Safaris, Dickson Kibunyi. Fedha hizo zilipatikana kufuatia upekuzi wa makazi na afisi za maafisa wa ngazi za juu wa idara ya michezo ambao wanahusishwa na kashfa ya wizi wa shilingi bilioni 3.8. Wapelelezi wa tume hiyo walifanya upekuzi sambamba katika miji ya Nairobi, Nanyuki, Machakos, Kiambu na Nyeri. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive