Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa watano wa wizi wa milioni moja waangamizwa kwa uma Kericho

  • | Citizen TV
    9,127 views
    Duration: 1:17
    Washukiwa watano wa uhalifu walioshukiwa kuiba shilingi millioni moja kutoka kwa mweka hazina wa Chama kimoja eneo la Soin Sigowet kaunti ya Kericho wamepigwa na uma hadi kufa