Washukiwa watano wakamatwa na vilipuzi wakielekea Meru

  • | Citizen TV
    203 views

    Washukiwa Watano Wamekamatwa Baada Ya Vilipuzi Kupatikana Kwenye Basi La Abiria Lililokuwa Likielekea Meru. Operesheni Ya Maafisa Wa Usalama Ilipelekea Kugunduliwa Kwa Vilipuzi Hivyo Katika Barabara Kuu Ya Kanyonyoo–Embu. Uchunguzi Sasa Umeanzishwa Kubaini Njama Ya Kusafirisha Vilipuzi Hivyo Ben Kirui Na Maelezo Zaidi.