- 666 viewsDuration: 2:46Miti ya misandali yenye uzani wa Tani saba nukta nane na yenye thamani ya shilingi milioni nane, imetekezwa katika kituo Cha polisi Cha Maralal, Kaunti ya Samburu. Huku washukiwa wawili wanaokisiwa kuhusika na biashara hiyo wakizuiliwa.