- 2,110 viewsDuration: 1:40Washukiwa wawili na maafisa wa posili wa mauaji ya mwanasheria mathew kyalo mbobu wamefikishwa katika mahakama ya kibera. Julius kipkoech cheruiyot pamoja na kennedy kipkemei borboroi sasa wanakabiliwa na na mashtaka ya mauaji ya tarehe9 septemba 2025katika barabara ya magadi kuelekea rongai . Mahakama sasa imetoa amri ya kuchunguzwa kwao kiakili huku upande wa mashtaka sasa ikiwataka washukiwa wengine watatu ambao ni familia ya rose kufikishwa mahakamani kwa mauaji mengine .