Washukiwa wawili wa ugaidi wauawa na polisi kutoka Busia na Siaya

  • | TV 47
    12 views

    Polisi kutoka kaunti za Siaya na Busia wamewapiga risasi na kuwaua watu wawili wanaoshukiwa kuwa magaidi katika mji wa Hawinga.

    Ni baada ya maafisa wa polisi waliokuwa wakisindikiza mitahani kuvamiwa,mmoja wao kuuawa na bunduki kuibwa mnamo Jumanne.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __