- 5,941 viewsDuration: 2:09Wapelelezi wa makosa ya jinai wanawazuilia washukiwa wawili wa ulaghai wa dhababu katika kituo cha Nyali huko Mombasa. Watu hao wanaodaiwa kumtapeli raia wa marekani shilingi milioni 37 walikamatwa katika chumba cha kukodisha walikokuwa wamejificha.