Wasichana wadodo wanapata dhiki kujifungua Kajiado

  • | Citizen TV
    132 views

    Wasichana wadodo wanapata dhiki kujifungua katika baadhi ya hospitali za kaunti ya Kajiado wakilalamikia manyanyaso na kutelekezwa kwasababu ya umri wao mdogo.Ndio madhila waliyopitia wasichana wawili wenye umri wa miaka 14 na 15 baada ya kubeba mimba na kufikia wakatiw a kujifungua