- 389 viewsDuration: 1:19Kuna haja ya serikali kurekebisha mfumo wake wa ufadhili wa elimu ili kuunga mkono vyema kina mama wachanga wanaotafuta elimu ya juu. Akizungumza na baadhi ya wasichana waliopata ujayuzito wakiwa shuleni mjini kakamega, mkewe gavana wa kakamega profesa janet barasa amesema kwamba akina mama wachanga walioandikishwa katika taasisi za elimu ya juu wanapaswa kutambuliwa rasmi kama kundi la watu walio hatarini na kupewa kipaumbele kwa msaada wa kutosha wa elimu.