Wasiwasi waibuliwa kuhusu kikosi cha kukabili uhalifu

  • | Citizen TV
    7,151 views

    Wataalam wa maswala ya usalama wameonya kwamba vikosi maalum vya kukabiliana na uhalifu havipaswi kuhusishwa kwenye makabiliano ya maandamano kwani, kuna uwezekano mkubwa kwa baadhi yao kutumia nguvu kupita kiasi kuzuia maandamano kutokana na mazoea ya shughuli zao.