25 Nov 2025 11:14 am | Citizen TV 372 views Duration: 1:46 Wataalamu wa afya na wadau wengine katika Kaunti ya Nandi wameandaa zoezi maalum la uhamasishaji kwa lengo la kutoa elimu kuhusu hatari inayoongezeka ya Kinga ya Dawa AMR.