Wataalamu wazindua mbinu mpya ya matibabu ya saratani ya damu

  • | K24 Video
    24 views

    Kila mwezi septemba ulimwengu huadhimisha mwezi wa kutoa hamasa kuhusu saratani za damu zikiwemo leukimia, myeloma, lymphoa. katika utafiti wa hivi karibuni, leukimia inaathiri watu wengi zaidi ikilinganishwa na saratani nyingine za damu, ila kufikia sasa uvumbuzi mpya umepelekea kuwepo kwa matibabu mapya ambayo yanaweza kurahisisha safari ya mgonjwa wa leukimia.