Watahiniwa 4 waliokamatwa kufanyia mtihani seli

  • | Citizen TV
    512 views

    Watahiniwa wanne waliokamatwa jumapili baada ya vita kuzuka katika shule ya upili ya wavulana ya shiners kwa kusababisha maafa ya mtahiniwa mmoja wanafanya mitihani yao ya kitaifa wa KCSE katika kituo cha polisi cha Gilgil, kaunti ya Nakuru.