Watetezi wa haki za binadamu wataka Serikali iwajibike

  • | Citizen TV
    83 views

    Huku miili sita zaidi ikipatikana kichakani Kwa Binzaro kaunti ya Kilifi na kuongeza idadi ya watu ambao wamefariki hadi kumi na tisa, Makaburi zaidi yanaendelea kupatikana