Watetezi wataka wanaharakati 3 waachiliwe baada ya kukamatwa kuhusu maandamano

  • | NTV Video
    1,213 views

    Watetezi wa haki za binadamu, marafiki na familia wameitaka serikali kuwaachilia mara moja wanaharakati watatu walikamatwa na Idara ya DCI madai ya kuchochea magenge kutekeleza vurugu katika maandamano ya Juni 25.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya