Watoto 3 wamefariki 7 wakilazwa hospitalini baada ya kula uyoga wenye sumu

  • | Citizen TV
    1,494 views

    Watoto watatu wamefariki huku wengine saba wakilazwa katika hospitali ya kaunti ya kilifi baada ya kula uyoga uliokuwa na sumu katika eneo la Bamba, eneo bunge la Ganza.