Skip to main content
Skip to main content

Watoto-64 kunufaika na vifaa vya kuwasaidia kusikia

  • | KBC Video
    52 views
    Duration: 2:06
    Watoto sitini na wanne wenye matatizo ya kusikia wanatarajiwa kurejeshewa uwezo wa kusikia kufuatia msaada wa vifaa maalum uliotolewa na Binti Mfalme Lalla Asma wa Morocco. Upasuaji a watoto hao unatarajiwa kuanza juma lijalo katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta na Hospitali ya matibabu maalum na Mafunzo ya Moi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive