Watoto wa miezi sita na mwaka moja wanusurika kifo Kericho

  • | Citizen TV
    1,579 views

    Watoto wa miezi sita na mwaka Mmoja walinusurika kifo walipookolewa baada ya mkasa wa moto kutokea na kuteketeza nyumba yao Katika Kijiji Cha Menet eneo bunge la Bureti.