Skip to main content
Skip to main content

'Watoto wangu waliungua hadi kufa nikiwaona'

  • | BBC Swahili
    6,607 views
    Duration: 1:37
    Florence Amunga ni mwathirika wa vurugu za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 nchini Kenya ambaye nyumba yake ilichomwa moto akiwa amelala na watoto wake ndani. Alipoteza watoto wake kwa moto huo huku yeye mwenyewe akipata majeraha mabaya. - Mwandishi wa BBC Asha Juma alizungumza naye. - Kutazama kwa urefu mahojiano haya tembelea ukurasa wa BBCSwahili YouTube - - - #bbcswahili #kenya #waridiwabbc #uchaguzi2007 #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw