Watoto wawili wa familia moja wateketea hadi kufa eneo la Kabete

  • | Citizen TV
    1,253 views

    Watoto wawili wa familia moja wameteketea hadi kufa, huku wengine wawili wakiokolewa katika ajali ya moto kijiji cha karungu-bii eneo bunge la kabete kaunti ya kiambu.