Watoto wengi wanakabiliwa na tatizo la minyoo

  • | Citizen TV
    104 views

    Huku zoezi la kuwapa watu tembe za kuangamiza minyoo likikamilika hapa nchini, imebainika kuwa baadhi ya wananchi na wanao wameathirika pakubwa bila yao kujua kutokana na kupewa matibabu yasiyofaa