Skip to main content
Skip to main content

"Watoto wetu wako wapi' - Wazazi wenye watoto shule ya Utumishi

  • | BBC Swahili
    23,059 views
    Duration: 1:01
    Wazazi ambao hawajapata watoto wao katika mkasa wa moto uliotokea shule ya wasichana ya Utumishi iliyopo Gilgil, kaunti ya Nakuru, Kenya wametaka majibu kuhusu hatima ya watoto wao baada ya moto huo mkubwa kuteketeza bweni na kusababisha vifo vya wanafunzi 16. #bbcswahili #kenya #utumishi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw