Watu 11 waangamia kwenye ajali mbaya katika barabara ya kutoka Nakuru kuelekea Eldoret

  • | KBC Video
    36 views

    Watu 11 waliangamia kwenye ajali ya barabarani,leo alfajiri, katika eneo la Ngata kwenye barabara kuu ya Nakuru-Eldoret. Ajali hiyo ilitokea baada ya dereva wa lori kugonga matatu ya abiria 14 ana kwa ana, na gari hilo likapoteza mwelekeo. Kwa sasa abiria 3 wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya matibabu maalum ya kaunti ya Nakuru. Dereva wa lori hilo lenye nambari ya usajili KBC 753Y amekwepa mtego wa polisi baada ya kutoroka kutoka eneo la ajali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive