Watu 115 wameuawa kwenye maandamano nchini

  • | Citizen TV
    1,340 views

    Jumla ya watu 115 waliuawa tangu kuanza kwa maandamano ya Gen Z ya Juni mwaka jana. Takwimu hizi zikijumuishwa watu 54 waliouawa katika muda wa mwezi mmoja uliopita wakiwemo waandamanaji wa kumbukumbu ya Juni 25 na Saba Saba.