Watu 12 wafariki kwenye ajali barabarani eneo la Ikanga, Taita Taveta

  • | Citizen TV
    1,848 views

    Watu 12 wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la ikanga kaunti ya taita taveta katika barabara kuu ya kutoka Nairobi kuelekea Mombasa.