Skip to main content
Skip to main content

Watu 12 wafariki kwenye ajali mbili za barabarani

  • | Citizen TV
    1,654 views
    Watu kumi wamethibitishwa kuaga dunia huku wengine saba wakiuguza majeraha mabaya baada ya kuhusika kwenye ajali mbaya ya barabarani, iliyotokea katika kituo cha kibiashara cha Mukhonje eneo Bunge la Lugari Kaunti ya Kakamega kwenye barabara kuu ya Eldoret-Webuye usiku wa kuamkia leo.