Skip to main content
Skip to main content

Watu 13 wafariki na 3 kujeruhiwa kwenye ajali Elementaita

  • | KBC Video
    526 views
    Duration: 3:08
    Watu 13 wamethibitishwa kuaga dunia na wengine 3 wanauguza majereha mabaya kufuatia ajali ya barabarani katika eneo la Elementaita kwenye barabara kuu ya Nakuru-Nairobi. Ajali hiyo ilitokea mwendo wa saa sita adhuhuri baada ya dereva wa matatu ya abiria 14 kujaribu kupita gari jingine kabla ya kugongana ana kwa ana na trela lililokuwa likitoka upande mwingine wa barabara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive