Skip to main content
Skip to main content

Watu 199 wameambukizwa HIV mwaka huu kaunti ya Makueni

  • | Citizen TV
    49 views
    Visa vya maambukizi ya virus vya ukimwi 199 vimeripotiwa kaunti ya Makueni kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita huku zaidi ya asilimia 50 ya maambukizi hayo mapya yakihusisha vijana.