Skip to main content
Skip to main content

Watu 25 wathibitishwa kufariki huku Nairobi ikikadiria hasara ya mamilioni baada ya mafuriko

  • | Citizen TV
    11,636 views
    Duration: 3:25
    Wakazi wa maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia jumamosi kusababisha mafuriko na hasara. Magari yalisombwa na maji huku makazi, biashara, hospitali na shule kadhaa zikiharibiwa. Walioathirika sasa wanailaumu serikali kwa kuruhusu ujenzi usiofuata sheria karibu na mito na kwenye mikondo ya maji