Watu 4 wamefariki baada ya kusombwa jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    5,282 views

    Watu wanne wamefariki kufuatia mvua kubwa iliyonyesha hapa jijini nairobi jana usiku. Miongoni mwa waliofariki ni afisa wa polisi wa kituo cha Kamukunji aliyekuwa akiwaokoa watu wanne katika eneo hilo