Watu 4 wameripotiwa kufariki eneo la Migadini, Mombasa

  • | Citizen TV
    1,044 views

    Watu wanne wamefariki kutokana na ugonjwa ambao bado haujatambulika mtaani Matangini Migadini eneo bunge la Changamwe Kaunti ya Mombasa