- 660 viewsDuration: 1:36Watu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi huku wengine kadhaa wakiwemo wanahabari na maafisa wa usalama wakijeruhiwa kufuatia makabiliano makali kwenye eneo bunge la Ikolomani,kaunti ya Kakamega. Ghasia hizo zilizuka baada ya wakazi kupinga mkutano ulioandaliwa na halmashauri ya kitaifa ya usimamizi wa mazingira-NEMA kujadili mapendekezo yao ya kuhamishwa ili kutoa fursa kwa ajili ya shughuli ya uchimbaji madini. Shule moja iliteketezwa huku shughuli za usafiri zikivurugwa kwa vile hali hiyo ilishindwa kudhibitiwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive