Watu 5 Kutoka familia moja wapoteza maisha kwenye ajali ya barabarani

  • | TV 47
    324 views

    Watu watano wa familia moja wameaga dunia kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha trela la kusafirisha mafuta, tinga tinga lililokuwa likisafisha kokoto na gari ndogo aina ya Probox eneo la Murgus kwenye barabara kuu ya Eldoret kuelekea Malaba mapema leo.

    #PresidentialTownHall #TV47WeekendEdition

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __