Watu 5 waokolewa kutoka kwenye tope na vifusi Mai Mahiu

  • | Citizen TV
    7,111 views

    Watu watano wameokolewa katika eneo la Mai Mahiu leo asubuhi, huku shughuli ya kuwatafuta manusura zaidi wa mafuriko katika eneo hilo ikiendelea. Idadi ya waliofariki sasa ikifikia 48 huku wadau mbalimbali wakiendelea na shughuli ya kuwatafuta na kuwaokoa manusura zaidi. Na kama anvyoarifu Laura Otieno familia zilizoathirika sasa zinahitaji msaada wa dharura baada ya makao yao kusombwa