watu 50 wafariki katika saa 72

  • | Citizen TV
    2,292 views

    Watu ishirini na sita wamefariki kufikia sasa kwenye ajali iliyohisusha basi la shule katika kaunti ya Kisumu ijumaa jioni , hii leo, jumamosi, wengine wanane wakifariki katika eneo la Korompoi kwenye barabara kuu ya Namanga kueleka Nairobi na mmoja akifariki huko Machakos.