Watu 57 wafaidi elimu ya watu wazima kutoka eneo la Purko Kajiado ya kati

  • | Citizen TV
    98 views

    Wanawake 57 kutoka eneo la Purko Kajiado ya kati wamefuzu na vyeti vya kozi mbalimbali kupitia mafunzo ya ngumbaru. Wengi wa wanawake hawa hawakupata fursa ya kuendeleza masomo yao ya shilingi za upili. Hatua hii ikiwa mojawapo ya mikakati ya kukuza elimu ya wanawake kaunti ya Kajiado. Robert Masai anaarifu