Watu 6 kukabiliwa na kesi kuhusiana na mauaji ya Albert Ojwang

  • | Citizen TV
    5,280 views

    Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Central Samson Talaam na washukiwa wengine watano wameshtakiwa kwa mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang' . Washukiwa hao watajibu mashtaka ya mauaji hapo kesho katika mahakama ya Kibra.