Watu 6 wamefariki kutokana na athari za mvua nchini

  • | Citizen TV
    541 views

    Watu sita wamefariki kufuatia athari za mvua kubwa inayonyesha sehemu mbalimbali nchini. Watu zaidi ya elfu 23 pia wameathirika na mafuriko yanayoshuhudiwa kaunti 22 nchini. Baadhi ya kaunti zilizoathirika zikiwa machakos, makueni, kiambu, embu, na hata nairobi. Na kama mary muoki anavyoarifu, nyumba zimejaa maji huku mifugo wakisombwa na kufariki kwenye athari hizi za mvua