Watu 6 wauawa Kunaso, Garissa kufuatia mzozo wa ardhi

  • | Citizen TV
    1,984 views

    Taharuki imetanda katika kijiji cha Tawakal, eneo la Kunaso mjini Garissa baada ya watu sita kuuawa katika vita kati ya koo mbili za eneo hili