Skip to main content
Skip to main content

Watu 6 wauawa, mifugo 2,000 waibwa katika uvamizi wa kikatili Turkana Kusini

  • | Citizen TV
    1,772 views
    Duration: 3:11
    Hali ya taharuki na wasiwasi imeendelea kutanda katika kijiji cha Kakong’u, turkana kusini, kufuatia uvamizi uliotekelezwa na wezi wa mifugo ambako watu sita wameuawa. Watu wengine wawili wamejeruhiwa, na mifugo zaidi ya 2,000 kuibwa. Uvamizi huu unajiri siku chache tu baada ya tukio jingine katika kijiji cha Kapelbok, pia Turkana kusini, ambapo majangili waliiba zaidi ya ng’ombe 1,000 na kumuua mtu mmoja. Ni hali ambayo imezua hofu kuhusu usalama katika eneo hilo.