Skip to main content
Skip to main content

Watu 600 wakabidhiwa nyumba za makazi Mukuru, Nairobi

  • | KBC Video
    377 views
    Duration: 4:03
    Watu wapatao 600 wamekabidhiwa nyumba za makazi kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu katika mtaa wa Mukuru jijini Nairobi, hatua inayotimiza ahadi ya rais ya mwezi Disemba mwaka jana. Kucheleweshwa kwa utaratibu huo hapo awali kulisababisha swintofahamu miongoni mwa waliotuma maombi ya nyumba hizo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News