- 2,479 viewsDuration: 2:54Watu saba wamefariki na wengine 11 kujeruhiwa mapema leo kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Miasenyi kaunti ya Taita Taveta. Ajali hiyo ilihusisha trela na gari la abiria kwenye barabara kuu ya Mombasa - Nairobi. Manusura 11 waliofikishwa katika hospitali ya Moi mjini voi wanaendelea kupokea matibabu huku 7 kati yao wakipelekwa mombasa kwa matibabu zaidi