Skip to main content
Skip to main content

Watu 7 walijeruhiwa kwenye vurugu mkutanoni Kitengela

  • | Citizen TV
    3,434 views
    Duration: 4:03
    Watu saba walijeruhiwa baada ya polisi kurusha vitoa machozi kwenye mkutano wa kisiasa wa mrengo wa ODM unaoongozwa na katibu mkuu Edwin Sifuna eneo la Kitengela kaunti ya Kajiado hapo jana. Mkutano huo ulitatizwa na wingu la vitoa machozi huku wanasiasa waliozungumza wakielezea uungaji mkono wao kwa Sifuna kusalia Katibu mkuu. Aidha, waliendelea kurusha makali kwa wale wanasema wameuza na kuvuruga chama cha ODM.