Watu nane wafariki kwenye ajali ya barabarani Nyamira

  • | KBC Video
    100 views

    Watu wanane waliaga dunia kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea mjini Kijauri kwenye barabara kuu ya Sotik-Keroka kaunti ya Nyamira jana jioni. Wengine wanane waliopata majeraha mabaya wanapokea matibabu katika hospitali mbalimbali kwenye eneo bunge la Borabu. Ajali hiyo ilitokea wakati lori lililokuwa likisafirisha magogo ya kiwanda cha majani chai kutoka Sotik lilipopinduka na kuangukia magari na maduka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive