- 18,090 viewsDuration: 26sMwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu, amefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania kuendelea na usikilizwaji wa shauri lake kuhusu madai ya kuvunjwa kwa haki yake ya kikatiba ya kufanya mashauriano ya siri na mawakili wake akiwa gerezani. - - - #bbcswahili #tanzania #chadema #upinzani #tundulissu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw